DADA WA DIAMOND AINGILIA KATI BIFU LA DIAMOND NA OMMY DIMPOZ
DADA WA DIAMOND AINGILIA KATI BIFU LA DIAMOND NA OMMY DIMPOZ

Baada ya Ommy Dimpoz Kumtolea Povu Diamond Platnumz kwa kupost picha akiwa na Mama yake na Kujiita Baba yake Diamond, Dada wa Diamond amekerwa na jambo hili na kuamua Kuingilia Kati bifu hilo.

Esma Platnumz ameandika ujumbe huu kwenye picha aliyoweka Ommy Dimpoz….

0 comments :