ALICHOANDIKA DIVAH WA CLOUDS FM KUHUSU SEDUCE ME YA ALI KIBA
ALICHOANDIKA DIVAH WA CLOUDS FM KUHUSU SEDUCE ME YA ALI KIBA

Mtangazaji maarufu wa Radio Diva Loveness Love [Clouds Fm] ametmia twitter kuandika ujumbe mfupi kuhusu rekodi mpya ya Ali Kiba #SeduceMe iliyotayarishwa na Producer Man Water.
Diva anasema >>Seduce me ya Alikiba ni Kama Pedi za Kike lazima Uvae , Mziki umeenda shule Huu #seduceme like what da hell

0 comments :